Online Library TheLib.net » Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili
cover of the book Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili

Ebook: Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili

00
16.02.2024
0
0
"Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili kimeandikwa kwa lengo la kumfafanulia mwanafunzi tanzu na vipera vya fasihi simulizi kwa njia angavu na nyepesi.

Muhitaji yote ya silabasi ya shule za upili yameshughulikiwu kwa kina.

Mada zimejadiliwa kwa lugha rahisi na mifano anuwai ya uchanganuzi kutolewa.

Yapo maswali yaliyotolewa mwishoni mwa mada. Maswali haya yanatahini stadi zote za ufumbuzi. Mwishoni mwa kitabu kumetolewa majibu ya baadhi ya maswali ya mazoezi."
Download the book Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili for free or read online
Read Download
Continue reading on any device:
QR code
Last viewed books
Related books
Comments (0)
reload, if the code cannot be seen