Online Library TheLib.net » Tuki kamusi ya kiswahili-kiingereza. Swahili-English dictionary
cover of the book Tuki kamusi ya kiswahili-kiingereza. Swahili-English dictionary

Ebook: Tuki kamusi ya kiswahili-kiingereza. Swahili-English dictionary

Author: Mulokozi M.M.

00
29.01.2024
0
0
Publisher: Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Publication date: 2001
Number of pages: 349
Kamusi hii ya Kiswahili-Kiingereza ina historia ndefu. Wazo la kutunga kamusi hii ilianzishwa mwaka 1964 na Chuo cha Uchunguzi wa Kiswahili (ambacho kuanzia mwaka 1972 kilijulikana kama Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili). Wazo hili lilibuniwa wakati wa enzi ya Profesa Wilfred H.Whitely, ambaye wakati huo alikuwa ndiye Mkurugenzi wa Chuo cha Uchunguzi wa Kiswahili, ikiwa ni miaka 25 baada ya kuchapishwa kwa kamusi ya Johnson ijulikanayo kama Standard Swahili-English Dictionary (1939). Kazi ya utunzi wa kamusi mpya ilianza baada ya shirika lijulikanalo kama Calouste Gulbenkian Foundation kutoa msaada wa pesa kwa Chuo cha Uchunguzi wa Kiswahili kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 1964 hadi Octoba 1967 ili kukiwezesha chuo kumwajiri mchunguzi atakayeweza kuifanya kazi hiyo.
Download the book Tuki kamusi ya kiswahili-kiingereza. Swahili-English dictionary for free or read online
Read Download
Continue reading on any device:
QR code
Last viewed books
Related books
Comments (0)
reload, if the code cannot be seen